Monday, 14 October 2013

CHEZEA SNURA WEWE....!AKATA MAUNO MPAKA AANGUKA MAISHA CLUB, CHEKI VIDEO YA TUKIO HILO HAPA!

Staa wa Majanga, Snura Antony Mushi ‘Snura’ amesema kuwa  mauno  anayoyakata  katika  shoo  zake  yamemfanya  apate  maombi  mengi  toka  wanaume  hasa  waume  za  watu..Snura alisema kukata mauno kwenye shoo ndiyo silaha yake ya kuwateka mashabiki  hasa  wanaume  ambao  wengi  wao  wamekuwa  wakimtongoza  kwa  ahadi  ya kumnunulia  gari  na  nyumba....

Tazama  video hiyo ujionee mwenyewe yaliyomo ndani yake...

No comments:

Post a Comment