Diamond akiwa katika Viwanja vya Leaders leo
.. .Akingololoka kidogo viwanjani hapo.
MSANII wa Bongo Fleva anayetamba na ngoma yake ya 'Number One', Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' baada ya kutua jijini Dar es Salaam leo akitokea nchini China, alitembelea katika Viwanja vya Leaders ambapo maandalizi ya shoo ya Fiesta 2013 yanafanyika.
Akiwa viwanjani hapo, Diamond aliwataka mashabiki wake wote…


No comments:
Post a Comment